Wednesday, June 13, 2012

UMOJA WA WANAMBEYA


SHUGHULI ZA MAENDELEO KIJIJI CHA IFIGA MBEYA LEO

Wanaume wa kijiji cha Ifiga wilaya ya Mbeya wakishiriki maendeleo ya ujenzi wa kituo cha afya kijijini hapo leo kama walivyonaswa na camera ya mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com ambayo imepiga kambi kijijini hapo kwa msaada wa TGNP

No comments: