Sunday, June 17, 2012

WILLY EDWARD AMEFARIKI DUNIA GAFLA



Habari za kusikitisha kutoka Mkoani Morogoro, Mhariri Mkuu wa gazeti la JAMBO LEO, Bw. WILLIE EDWARD amefariki dunia mjini Morogoro alikokuwa akihudhuria Warsha ya Wahariri. Amefariki usingizini. Chanzo cha kifo kitatolewa na vyombo husika.

Blog hii inaungana na familia ya Marehemu, Wanahabari, Ndugu jamaa na Marafiki wote katika kuomboleza msiba huu wa mpiganaji WE.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kuhusiana na msiba huo.


No comments: