Thursday, August 30, 2012

MADEREVA WASITISHA MGOMO KWA MDA BUKOBA.

















Baada yatatizo la mgomo wa madreva mkoani kagera ambalo limedumu kwa mda takribani siku tatu leo 29/8/2012 umestishwa rasmi kwa mda.
Kikao kilichukuchukua  takribani mda wa masaa matatu ndani ya Ukumbi wa
Manispaa ya Bukoba.Wkishriki vingozi wa ngazi mbalimbali katika  mkoa wa kagera na wadau wa vyombo vya usafiri hasa madereva wa magari ya abiria

No comments: