Friday, August 31, 2012

MTANANGE KATI YA WATAALAM NA MEYA WA TANZANIA

 Meya wa manispaa ya Bukoba kiongea na baadhi ya wenzake mara baada ya kupata ushindi dhidi ya wenzao wataalamu  1-0
 Meya wakijipongeza uku akionesha ushilikiano kwa mwenzake wa timu pinzani
 Timu ya mameya wa Tz
 Mgeni rasmi akiwapongeza mameya kwa ushindi wao
 Kikosi cha mameya wakiwa wameshika kombe kwa pamoja.

 Kikosi cha wataalam wakishiwa na kombe la kufuta machozi
 Wataalam Ndembe ndembe na kombe la wenzao
 Ni mara baada ya Mechi ya Wataalam na Meya Timu ya VETELAN walijiandaa  kicheza Machi

No comments: