Wednesday, August 22, 2012

UONGOZI WA MKOA WA KAGERA WASHILIKI KIKAMILIFU KATIKA KUHAMASISHA SENSA YA WATU NA MAKAZI MKOANI KAGERA

Baadhi ya walioudhuria kikao cha kuhamasisha zoezi la sensa ya watru na makazi.

Katibu tawala wa mkoa wa Kagera, Nassor Mnambila akifungua kikao cha kuhamasisha masuala ya sensa na makazi kilichoandaliwa na halmashauri ya manispaa ya Bukoba kwa kushirikiana na wilaya ya Bukoba kilichowashirikisha viongozi wa madhehebu ya dini, viongozi wa vyama vya siasa na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa manispaa ya Bukoba, alikuwa akisema kuwa serikali haitawavumulia wale 
wote watakaokataa kuhesabiwa.

Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba Robert Kwela Kushoto na katibu tawala wa wilaya ya Bukoba Clement Ndyamkama kulia wakiwasikiliza kwa makini viongozi waliokuwa wanahamasisha masuala ya sensa na makazi.

Mkuu wa wilaya ya Bukoba akiwaeleza viongozi wa dini, waandishi wa habari na viongozi wa vyama vya siasa wawahamasishe wananchi washiriki kikamilifu kwenye zoezi la sensa wa watu na makazi.

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi akiongea na wajumbe wa kikao cha kuhamasisha masuala ya sensa.

Katibu tawala wa mkoa wa Kagera, Nassor Mnambila akifungua kikao cha kuhamasisha masuala ya sensa na makazi kilichoandaliwa na halmashauri ya manispaa ya Bukoba kwa kushirikiana na wilaya ya Bukoba kilichowashirikisha viongozi wa madhehebu ya dini, viongozi wa vyama vya siasa na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa manispaa ya Bukoba, alikuwa akisema kuwa serikali haitawavumulia wale wote watakaokataa kuhesabiwa.

No comments: