Saturday, October 6, 2012

Kardinali Laurean Rugambwa kuzikwa leo rasmi katika makao yake ya milele


Mwonekano wa sasa wa kanisa katoliki jimbo la Bukoba, humu ndipo marehemu kardinali Laurean Rugambwa atazika kama makao yake ya milele
Na mwandishi wetu 
Bukoba
Kwa kipindi kirefu takribani miaka zaidi ya kumi mpaka sasa mwili wa kardinali Laurean Rugambwa utazikwa rasimi katika kanisa jipya ambalo limekuwa likifanyiwa ukarabati tangu mwaka 1994.
Kwa mujibu wa ratiba ya kanisa katoriki bukoba inasemekana kuwa tarehe sita ambaya ni leo mwili huo utapumzishwa rasimi katika makazi yake ya milele katika kanisa hilo jipya kwa sasa.
Mwili huo ulipendekezwa kuzikwa katika kanisa hilo kwa kuwa Karidinali kabla ya kifo chake alifanya mambo mengi sana likiwemo kujenga kanisa na mashule mbalimbali katika mkoa wa kagera na Tanzania kwa ujumla.
Uongozi wa kanisa katoriki jimbo la bukoba ulifikia uamuzi huo kama heshima kwa mwasisi huyo wa dini na mtakatifukatika Afrika  
hivi punde tutakjuza nini kinaendela na hadi kufikia katika hatua ya mwisho.................

No comments: