WAZIRI MKUU PINDA AWASILI KAGERA
Waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa
kamati ya usalama ya mkoa wa Kagera mara baada ya kuwasili kwenye uwanja
wa ndege wa Bukoba kuhudhuria uzinduzi wa kanisa kuu la jimbo katoriki
la Bukoba.
Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Massawe akimpokea Pinda.
Massawe akiongea jambo na waziri wa mali asili na utalii Balozi
Khamis sued Kagasheki wakati wakisubili ujio wa waziri mkuu, Pinda
kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba, kushoto ni katibu tawala wa mkoa wa
Kagera Nassor Mnambila na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na
usalama ya mkoa wa Kagera.
No comments:
Post a Comment