KOCHA
wa Bafana Bafana, Gordon Igesund amesema anajisikia vizuri baada ya
juzi kufanyiwa upasuaji wa kidole tumbo katika hospitali moja mjini
Johanesburg.
Hali ya kocha huyo wa Afrika ilikuwa mbaya na kukimbizwa hospitali baada ya kubanwa na maumivu ya makali ya tumbo. Lakini kocha huyo wa Afrika kusini alisema upasuaji ulienda vizuri na anatarajiwa kutoka hospitalini hapo leo hii na jumatatu anaweza kuendelea na majukumu yake.
Pamoja na hayo Docta wake amemshauri Igesund kupumzika na kutoharakisha kwenda kwenye mazoezi na timu yake,
Alianza kusikia hali ya kuumwa kabla ya michuano ya Mataifa ya Africa kusini AFCON wakati wa mechi ya ya kujipima nguvu na timu ya Taifa ya Kenya.

No comments:
Post a Comment