Mjumbe wa Halkmashauri
Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC) kutoka Wilaya ya Lindi Mjini, Mke wa
Rais Jakaya Kikwete yupo katika ziara ya juma moja Mkoani Lindi kukagua uhai wa
chama na kuhamasisha maendeleo kwa ujumla. Mama Salma Kikwete leo amefanya
mikutano miwili katika Vijiji vya Chikonje na Nanyanje mkoani Humo.

MAMA JK AKISALIMIA MWANANCHI KWENYE MKUTANO WAKE CHIKONJE, LINDI.
AKIZUNGUMZA NA WANA-CCM OFISI YA CHIKONJE LINDI.

MAMA JK AKIHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA, KIJIJI CHA NANYANJE, CHIKONJE LINDI.

JK AKIMKABIDHIWA KADI YA CUF NA ALIYEKUWA MWANA-CUF BAHATI ATHUMANI

SURA ZENYE BASHASHA WAKIMSIKILIZA MAMA JK, CHIKONJE, LINDI

WANACHAMA WAPYA WA CCM CHIKONJE WAKILA KIAPO

MAMA JK AKISHIRIKI KUCHEZA NGOMA YA TAMBIKO CHIKONJE, LINDI

WASANII NGOMA YA TAMBIKO CHIKONJE

BAADHI WAKIPIGA VIGEREGERE KUSHANGILIA MAMA JK KIJIJI CHA NANYANJE
No comments:
Post a Comment