Wazazi wa Bi Nyangoma wakiwa wamesimama na wakitabasamu kwa shangwe kubwa mara baada ya Bi. Harusi kuingia ukumbini mwanzoni ni Mr Nyerere wa Bukoba
Mr.Kyarukamba akiwa na Mr. Alistedes (wajomba mtu) akiwa na furaha kubwa mara baada ya Bi Harusi kuingia ukumbini
Jinsi mapambo yalivyokuwa ndani ya LIKE HOTEL
Bi. Harusi akiwa tayari kwa kukata keki iliyo mbele yake.
Meza ya keki ilivyokuwa
Wote wakiwa na furaha hapa ni bi arusi mtarajiwa akiwa na mchumba wake.
Ngoma ya asili nayo ilikuwepo kutoka bukoba.
walipendeza kweli.
Kweli mambo yalikuwa sio mabaya
Mr. na Mrs Kyarukamba wakiwa wametulia kwa raha zao.Huyu ndo alikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi kweli alifanya kazi hapa ni mara baada ya kupokea zawadi ya keki
Mrs Kyarukamba akienda kupokea zawadi ya keki toka kwa Nyangoma (bi harusi mtarajiwa)
Mr Godwin mganda naye pia alikuwepo siku hiyo.
Bi.Harusi akilishana keki na matron wake.
Wajomba wakitoa neno kwa bint yao
sote kwa pamoja tunawaombee mafanikio katika maisha yao ya ndoa wanayotarajia kuianza 15/2/2014
No comments:
Post a Comment