Tuesday, May 13, 2014

MPANGO WA KUHAMASISHA WANAWAKE KUSOMEA FANI YA UHANDISI SAYANSI NA TEKNOLOJIA WAZINDULIWA MUST MBEYA








Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi


Mgeni rasmi Mkurugenzi msaidizi Wizara ya Sayansi na Teknolojia idara ya sayansi na ubunifu Dr. Magreth Komba
akiongea na wageni waalikwa katika uzinduzi huo


Naibu kaimu makamu mkuu wa chuo na taaluma
Dkt Mbonde akimkaribisha mgeni rasmi

Albertina Leonard Mwenyekiti WITTED na mkufunzi idara ya sayansi na biashara akisoma taarifa fupi ya mpango wa kuwahamasisha wanawake kusomea fani ya sayansi na Teknolojia


Mtungwa William mkuu wa idara ya mitihani na pia kaimu mkuu wa idara ya FSD MUST


Hapa wanawake wakifurahia uzinduzi


Tedy Mkwawa mwanafunzi mwaka wa tatu Diploma uhandisi umeme akimwelezea mgeni rasmi jinzi umeme unavyofanya kazi katika nyumba



Enea King'ung'e anaesomea uhandisi umeme mwaka wa tatu akimwelezea mgeni rasmi jinsi taa za barabarani zinavyofanya kazi


Sheila Mwihava mwanafunzi wa mwaka wa tatu uhandisi umeme akitoa maelezo mafupi kwa mgeni rasmi jinsi taa zinazotumika katika mizani za barabarani zinavyofanya kazi


Elizabeth Lema akimwelezea mgeni rasmi jinsi vifaa mbalimbali vya umeme vinavyofanya kazi


Victoria Mtega kulia anaesomea usanifu majengo mwaka wa tatu akimwelezea mgeni rasmi jinsi ujenzi wa nyumba mbali mbali zinavyojengwa kitaalamu


Bi Scholastica Loppa Mhadhiri msaidizi Fani ya umeme pia ni mwanzilishi wa kampeni ya uhamasishaji wanawake kusomea fani ya ufundi anamiaka 30 tangu ameanza kufanya kazi ya uhandisi umeme


Grace Ntungi yeye ni Mhandisi shirika la umeme Tanesco Mbeya anamiaka 22 kazini katika fani hiyo amesema wanawake tunaweza bila kuwezeshwa


Lilian Kawala Mhadhiri mtarajiwa uhandisi umeme akielezea jinsi anavyolipenda somo la sayansi na changamoto alizokutananazo amesema hakuna somo rahisi kama hesabu maana hesabu jibu huwa moja kuliko masomo mengine majibu hutofautiana hivyo wanawake wenzngu tujitokeze kusomea fani za ufundi


Eunice Maonyeshp yeye ni mahandisi toka Tanroads akielezea mafanikio yake katika kazi ya ke ya uhandisi barabara


Flora Talamba Mhandisi toka Tanroads




Baby TOT wakitumbuiza katika uzinduzi huo



Picha ya pamoja

No comments: