Friday, May 9, 2014

SSRA YAENDELEA KUTOA ELIMU JUU YA MIFUKO YA JAMII

Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mawasilano wa SSRA), Sarah Kibonde Msika, katibu wa TUCTA Taifa,  Nicolaus Mgaya Mwenyekiti wa TUCTA (M) Mwanza Yusuph Simbaulanga, na Katibu wa TUCTA Mkoa wa Mwanza,  Evarist Mwalongo, wakiimba wimbo wa Mshikamano wakati wa Semina ya Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa CWT Mkoa wa 
Mwanza
Viongozi wa Wafanyakazi wakiimba Wimbo wa Mshikamano wakati wa Semina hiyo
Katibu wa TUCTA Taifa Nicolaus Mugaya akifungua Semina kwa Viongozi hao wa Wafanyakazi.

Hapa Nicolaus Mugaya akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi hao.

Nicolaus Mugaya Katibu Mkuu wa TUCTA Nchini akifafanua jambo kwa Waandishi wa habari


Bibi Sarah Kibonde  Mkuu wa Mawasiliano wa SSRA, akiwa anawasilisha mada katika Semina hiyo.
Semina inaendelea hapa na Washiriki wakiwa wametuli tuliii.
Darasa limekolea na sasa Ishara zinabidi zitumike zaidi.

Maswali haya kukosekana, Pichani ni Bw. Samweli Mkama aliye simama katikati aliyetaka kufahamu hatima ya wafanya kazi 260 ambao hadi sasa tatizo lao halijapatiwa ufumbuzi kutokana na kuchangia mifuko tofauti tofauti.

Afisa kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) bw. Jarlath Mushashu, alihudhuria Semina hiyo ya SSRA kwa ajili yakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa ambayo yamekuwa yakilalamikiwa toka kuanza kwa semina hizo Jiji Mwanza.
WEKEZA KWA MAISHA YA UZEENI HAPO BAADAE

No comments: