Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Bi Helen Clark kulia akiwa na madereva wa greda ambalo limetolewa na UNDP kwa mradi wa
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Hellen Clark wa pili kulia akiwa na mkuu wa UNDP Afrika Paul Harrison kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi wa nne kulia na tano kulia ni Mratibu wa SPANEST Bw Godwell ole Meing'ataki watatu kulia ni afisa mahusiano wa TANAPA Bw Pascal Shelutete.(P.T)
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Hellen Clark wa pili kulia akiwa na mkurugenzi wa UNDP Afrika Paul Harrison kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi wa nne kulia na tano kulia ni Mratibu wa SPANEST Bw Godwell ole Meing'ataki
Afisa utalii ofisi ya utalii Nyanda za juu kusini Risara Kabongo akipita kando ya mtando wa kutengeneza barabara hifadhi ya Taifa ya Ruaha uliyotolewa na UNDP kwa mradi wa Spanest
Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi kushoto akiwa na Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) duniani Hellen Clark jana wakati akizungumza na askari wa hifadhi hiyo kiboko wa majangili nchini
Mwandishi wa BBC nchini ABOUBAKARI FAMAU kushoto akichukua matukio nyeti wakati mkuu wa UNDP duniani akizungumza na askari wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Bi Hellen Clark kulia akizungumza na askari wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa
Mwandishi maarufu wa ITV nchini Vedasto Msungu akichukua matukio
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Hellen Clark kulia akizungumza na askari wanaopambana na majangili hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa jana
Mkuu wa UNDP Hellen Clark kulia akiwa na watendaji wa TANAPA akiwemo mratibu Mratibu wa SPANEST Bw Godwell ole Meing'ataki wa pili kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Hellen Clark akiwa katika gari lililotolewa na UNDP
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Hellen Clark akiwa na mkurugenzi mkuu wa TANAPA Allan Kijazi kushoto kando ni gari lililotolewa msaada wa UNDP
Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi wa tatu kushoto akiwa na Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Helen Clark wa pili kulia na Mratibu wa SPANEST Bw Godwell ole Meing'ataki na mratibu wa UNDP Afrika Paul Harrison kulia nyuma yao ni gari lililotolewa na UNDP
Wahudumu wa Hotel ya kisasa ya Ruaha
Ndege iliyotumiwa na watendaji wa UNDP
Wanahabari ni watumishi wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha mkoani Iringa wakiitazama ndege aliyopanda Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Bi Helen Clark wakati akiwasili katika hifadhi ya Ruaha kutembelea miradi inayofadhiliwa na UNDP
Mkuu wa UNDP duniani Helen Clark kulia akiagana na watumishi wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha leo asubuhi
Mwanahabari wa Chanel Ten Iringa Clement Sanga akiwa kando ya ndege ya Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Bi Hellen Clark
Simba akiwa amepozi wakati mwandishi wa BBC Tanzania Aboubakari Famau akimpiga picha katika hifadhi ya taifa ya Ruaha mkoani Iringa wakati wa ziara ya mkuu wa UNDP duniani Helen Clark alipotembelea hifadhi hiyo jana
mwandishi wa BBC Tanzania Aboubakari Famau akiwapiga picha simba katika hifadhi ya taifa ya Ruaha mkoani Iringa wakati wa ziara ya mkuu wa UNDP duniani Helen Clark alipotembelea hifadhi hiyo jana
mwandishi wa BBC Tanzania Aboubakari Famau akiwapiga picha simba katika hifadhi ya taifa ya Ruaha mkoani Iringa wakati wa ziara ya mkuu wa UNDP duniani Helen Clark alipotembelea hifadhi hiyo jana
Mamba akiwa langoni mwa hifadhi ya Ruaha mkoani Iringa(picha na Francis Godwin Blog)
No comments:
Post a Comment