Saturday, June 2, 2012

EMMANUEL MBAULE AINGIA !* ZA POLISI

 Emmanuel Ernst Mbaule wa 88.5 Kasibante Fm Radio
Tuungane pamoja ili kuona wadau wana maoni gani juu ya uongozi wake na ufanisi wake wa kazi akiwa kama meneja wa radio ya Kasibante 

 Meneja wa redio ya Kagasheki ni balaa
anaitwa Emmanuel Mbaule,kwa mwaka mmoja amefanikisha mkakati wa kuwatimua wafanyakazi tisa kwenye redio Kasibante inayomilikiwa na Waziri Khamis Kagasheki.Cv yake inasomeka eti alikuwa kiongozi mzuri hapo Redio Mlimani ya Dar es salaam.Kutimua wafanyakazi hovyo ni sifa au udhaifu ktk uongozi?(1)
 JF Senior Expert Member
inategemeana pia na sifa za hao waliotimuliwa. Kila siku hapa JK watu wanamshangaa kwa kutomtimua Ngeleja,this is because anaonekana si mchapa kazi. kwahiyo yeye kama meneja kama aliona wanaleta uzembe alikuwa hana budi kwani redio ina goals zake kama anaona kakuajili kakupatia tageti zako nawe umelala afanyeje mkuu? Huyo anafaa sana kwenye hizi wizara za serikali yetu.(2)


Aisee, bora umeleta hii habari jamvini:
Huyu dogo Mbaule hata mie nimeshindwa kuelewa ufahamu wake ktk maswala ya ADMINISTRATION amekua akiendesha ofisi kinyume na taratibu na misingi ya utumishi.(3)


JF Senior Expert Member
Bahati nzuri anaofanya nao kazi ni wastaarabu kinyume na hivyo balozi Kagasheki angekuwa nasuluhisha kesi kila kukicha, Redio kwa sasa imechukiwa na Watu kwasababu ya uongozi wake mbovu. Kuna haja ya kumvua cheo cha Umeneja hakimfai kabisa, Mbaule kuendelea kuwa Meneja ni kudhalilisha professional za watu.
Kama hataki kubadilika, atabadilishwa na umma muda si mrefu.(4)


nategemeana pia na sifa za hao waliotimuliwa. Kila siku hapa JK watu wanamshangaa kwa kutomtimua Ngeleja,this is because anaonekana si mchapa kazi. kwahiyo yeye kama meneja kama aliona wanaleta uzembe alikuwa hana budi kwani redio ina goals zake kama anaona kakuajili kakupatia tageti zako nawe umelala afanyeje mkuu? Huyo anafaa sana kwenye hizi wizara za serikali yetu. Katika kumwachisha kazi mfanyakazi kuna taratibu zake kisheria: hakuna cha kutimuatimua kama anavyofanya huyu dogo, anachofanya ni aibu na endapo anaowatimua wakijua wanavyotendewa ndivyo sivyo patachimbika. (5)

Ushauri kwa waliotimuliwa:
Ebu nendeni muonane na Maafisa Kazi, wanapatika ktk Ofisi za Idara ya Kazi-Ofisi za Wizara ya Kazi na Ajira, kwa Bukoba ziko Kashai Road, kupita Soko kuu, karibu na Uwanja wa ndege, nyuma ya Shule ya msingi Bilele:

Ushauri mtakao pewa ufanyie kazi. 

Ni baadhi ya maoni kutoka kwenye mitandao ya kijamii leo katika pitapita yangu nimebahatika kukaa na kusikiza taarifa fulani juu ya MwanaHabari huyo kuwa kwa sasa YUPO CHINI YA ULINZI MKALI SANA KATIKA KITUO CHA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI MKOANI KAGERA KWA MAKOSA YA AINA TOFAUTI LIKIWEMO LA UTANGANYIFU NA KUJIPATIA MALI KWA NJIA ZISIZO HALALI 
Sikubahatika kuonana naye wala kusikia sauti yake wala kuongea na mtu yeyote wa karibu yake leo ila kesho nitaifanyia kazi
 
Reply With Quote 

No comments: