Thursday, July 19, 2012

KUTOKANA NA AJALI YA KUZAMA KWA MELI WATANZANIA WAOMBA KWENDA KUTAMBUA MAITI ZAO NA KUZICHUKUA

Baadhi ya Wananchi waliozitambua maiti zao katika Viwanja vya Maisara wakisaidiwa na Askari kutokana na Huzuni kubwa waliokuwanazo.kwa kuzama kwa Meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika Foleni ili kwenda kuzitambua Maiti zao katika Viwanja vya Maisara kutokana na kuzama kwa Meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi ya Wageni kutoka Nchi mbalimbali wakiwa katika Viwanja vya Maisara ili kujuwa Ndugu zao na kuangalia taratibu zinazofanyika viwanjani hapo kutokana na Kuzama kwa meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi ya Wananchi wakiwa wamekusanyika katika Viwanja vya Maisara ili kuweza kupata taarifa ya Ndugu zao waliokuwa katika Meli ya Skagit ambayo imepata Ajali ya Kuzama katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbaliombali wakiwa katika Viwanja vya Maisara ili kuweza kupata Taarifa mbalimbali za kuletwa kwa Maiti ambazo zimepatikana katika ajali ya Meli ya skagit iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wakizitambua Maiti zao zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya skagit iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit ilizama zikiteremshwa katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar ili kutambuliwa na Jamaa zao.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Madaktari wakiandika Orodha ya Maiti zinazoletwa hapo katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar Baada ya kupatikana kutoka katika Meli ya Skagit iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Wahusika wa Matayarisho ya Mazishi ya watu waliokuwa bado hawajatambuliwa na Jamaa zao ili kuzikwa kiserikali wakiwa katika kazi ya kutayarisha Sanda hapo katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.

No comments: