Ni mara baada ya kutangaza taratibu za mazishi
Kanumba akiwa hai
Nafasi ya kukaa yanazidi kupungua kwani watu ni wengi
Daftari linaendelea kutumika mpaka sasa
Kila mtu kwa mkao wake na uzuni moyoni. |
Ruge akiwa na waheshimiwa |
Musa K afariji wafiwa |
Monalisa,Millen & Ruge |
....kama siamini vile .....
Kweli sifa za mtu zinaonekana akiwa amekufa lakini leo hii kama Kanumba angelikuwa hai akaamua kugombea basi kura nahisi zisingehesabika kwani mpaka sasa daftari lina zaidi ya watu 3600 na wengine hawajiandikishi hem! tusubili tuone itakuwaje?
PINDA ATOA POLE KWA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA KANUMBA, AWASILI MKOANI DODOMA TAYARI KWA VIKAO VYA BUNGE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza jijini Dar es salaam Aprili 9, 2012 kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa mwigizaji mahiri nchini, marehemu Steven Kanumba, nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es salaam, Aprili 9, 20§12.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt.Rehema Nchimbi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 9,2012 kuhudhuria kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza Aprili 10, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment