LIGI KUU VODACOM :YANGA KUPOKEA KICHAPO CHA GOLI 1-0 DHIDI YA KAGERA SUGAR KAITABA MJINI BUKOBA

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe akisalimiana na waamuzi

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kagera sugar

Timu zote mbili zikimsikiliza mkuu wa Mkoa wa Kagera

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe akisalimiana na wachezaji wa timu zote mbili Yanga na Kagera Sugar.

Timu zikisalimiana kabla ya mtanange jioni hii

Kikosi kamili cha Yanga kilichopewa kichapo na wakata miwa wa Kagera Sukari jioni ya leo.

Waamuzi
wa mpira wa kagera sugar na Yanga (OMARY JUMA - MWANZA, DOMINIQ
NYAMSANA - DODOMA-HASSAN ZANI - ARUSHA - CHARLES MBILINYI- MWANZA NA
JONESIA LUKYAA-BUKOBA)

Kikosi cha timu ya Kagera Sukari kilicho ifunga timu ya Yanga 1-0 kwenye uwanja wa kaitaba mjini hapa

Bench la Wachezaji wa Kagera Sukari.

Said Bahanuz aliumia na nafasi yake ikachukuliwa Jerson Tegete

Meza kuu

Mkuu
wa mkoa wa kagera (katikati) akiwa na Malik Suddy Tibabimale(katibu
chama cha mpira BKM) wakifatilia kwa makini mpambano kati ya Kagera
Sugar na Yanga.

Wapenzi wa soka Jukwaa la Golani maarufu kama Jukwaa la Balimi.

Bench la timu ya Yanga
VIKOSI:
YANGA
1.Yaw Berko 2.Juma Abdul 3.Stephano Mwasika 4.Nadir Haroub 'Cannavaro' (C)5.Mbuyu Twite 6.Athuman Idd 'Chuji' 7.Nizar Khalfan 8.Frank Domayo 9.Said Bahanunzi 10.Didier Kavumbagu 11.Haruna Niyonzima
Subs:
1.Ally Mustapha 'Barthez'
2.Oscar Joshua
3.Ladislaus Mbogo
4.Omega Seme
5.Shamte Ally
6.Nurdin Bakari
7.Jeryson Tegete
KAGERA SUGAR
1.Andrew Ntalla 2. juma Nade 3. Kanoni Salim 4. Amandus Nnesta 5.
Benjamini Effe 6. Malegesi Mwangwa 7. Daudi J'nne 8. George Kavilla 9.
Enyinna Darlington 10. Shija Mkiwa 11. Wilfred Ammeh
No comments:
Post a Comment