Monday, February 25, 2013

MHANGA WA UMEME IRINGA AENDELEA NA MATIBABU KATIKA HOSPITALI YA RUFAA.

AJALI YA UMEME 31d91


Ndg. Selemani Mbuma aliepata ajali mbaya ya Umeme hiv ikaribuni bado yuhai akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa Iringa word namba 9 Pichani mkewe Bi Haule akishirikiana na wauguzi kumuhudumia mume wake Ndugu huyu anahitaji msaada zaidi wamtibabu kulingana na hali alionayo baadaya ajali. PICHA NA SAID NG'AMILO

No comments: