Monday, September 24, 2012

HECHE NA M4C KATIKA NGOME ZA CCM KAGERA





Mwenyekiti wa baraza la vijana CHADEMA taifa John Heche akizungumza na wafuasi cha CHADEMA katika kata ya Kagoma wilayani Muleba, Ambapo tangu jumamosi amepiga kambi wilayani muleba na jana alikuwa katika ngome ya Mwijage mbunge wa Muleba kasikazini mjini Kamachum

No comments: