Wednesday, September 19, 2012

KAGERA SUGAR V JKT OLJORO 0 - 0

LIGI YA VODACOM YAINGIA RAUNDI YA PILI:




Baadhi ya waamuzi wa mpira wa leo
 wachezaji wakisalimiana kabla ya mtanange kuanza kuchezwa muda
 waamuzi wa mpira kagera Sugar na Jkt Oljoro

 picha ya Pamoja haikukosa
 Mtanange ukiendelea uwanjani Kaitaba Stadium
 benchi la timu ya Jkt Oljoro
 Wachezaji wa Kagera Sugar na viongozi wao wakitazama mtanange kwa makini
wachezaji wa Akiba wa Kagera Sugar

Mashabiki.
Ubao ukionesha hakuna mbabe kati yao wawili
Askari nao walikuwepo kwa ulinzi zaidi
Mtanange ukiendelea Kuumia ni jambo lakawaida uwanjani hapa aliumia mchezaji wa kagera Sugar



Kipa wa Kagera Sugar
 Mchezaji wa Kagera sugar aliumia na kutolewa nje


Wakati wa mapumziko.



 

No comments: