Monday, September 3, 2012

KESI YA MBUNGE ANAYETUHUMIWA KULA RUSHWA YASOMWA MAHAKAMANI

Mbunge Badwel akishuka ngazi baada ya kusikiliza kesi yake.
…Akisindikizwa na wapambe wake.
MBUNGE wa Bahi, Omary Badwel, leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuanza kusomewa maelezo ya awali ya kesi ya tuhuma za rushwa inayomkabili.
                                                              PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL

No comments: