Monday, September 3, 2012

HOURSE GIRL KIFUNGONI KWA KUIMBA MILLIONI 140


Asha Juma akificha uso baada ya kuhukumiwa kwenda jela.
Mwanahamisi Ally akijifunika uso wakati akienda kuanza maisha ya gerezani.
WAFANYAKAZI wawili wa ndani wa Bi. Roshim Hirji, waliotajwa kwa majina ya Asha Juma, Mwanahamisi Ally na Mwanaidi Omary leo wamehukumiwa kwenda jela miaka mitatu kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumwibia mwajiri wao jumla ya shilingi milioni 140

No comments: