Mbunge wa Iringa mjini-Chadema akihutubia umati wa wakazi wa Iringa mjini,waliofika kumsikiliza jioni ya leo katika viwanja vya soko kuu Iringa.
Mbunge wa Iringa,mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA,jioni ya leo amehutubia umati mkubwa wa wakazi wa Iringa.Katika hotuba yake, Msigwa amesema kuwa, hayati Daud Mwangosi ni shujaa ambae atakumbukwa daima.
Tutawaleteeni habari zaidi.
No comments:
Post a Comment