Tuesday, January 22, 2013

Mh. Lowassa atoa maoni katiba mpya

lowasaa1 4975b Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassa akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika leo (jumanne januari 22, 2013) katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba na Mjumbe wa Tume, Dkt. Salim Ahmed Salim.

lowasaa2 01dc4
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassa, Mhe. Edward Lowassa akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nje ya ofisi za Tume hiyo leo (jumanne januari 22, 2013)Jijini Dar es Salaam mara baada ya kutoa maoni na uzoefu wake kuhusu uandishi wa Katiba Mpya. Wengine pichani ni Wajumbe wa Tume, Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim, Bi. Maria Kashonda na Dkt. Sengondo Mvungi.
lowasaa3 baf72
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim (kushoto) akibadilisha mawazo na Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassa (katikati) nje ya ukumbi wa mikutano wa Tume hiyo, mara baada ya Mhe. Lowassa kuwaslisha maoni na uzoefu wake kuhusu uandishi wa Katiba Mpya. Kulia ni Mjumbe wa Tume, Bi. Maria Koashonda.
lowasaa 7956f
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassa akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika leo (jumanne januari 22, 2013) katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya. Kulia ni Mjumbe wa Tume Bi. Maria Kashonda.

No comments: