Je anataarifa kuhusu moto unaowaka bungeni huku Tanzania au ndo atakuja anajulishwa ilivyokuwa????
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  katika mazungumzo na wajumbe wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji  wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya ziara  yake ya kikazi jijini Sao Paulo Aprili 19, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  katika mazungumzo na viongozi wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji  wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya  ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo, Brazil Aprili 19, 2012. Wa pili  kushoto ni Makamu wa Rais wa chama hicho Bw Joao Guilherme Sabino Ometto  na kushoto ni Mkurugenzi wa chama hicho Thomaz Zanotto na kulia ni  Waziri wa Kazi na Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar  Mh Haroun Ali Suleiman.
PICHA NA IKULU
 
 
No comments:
Post a Comment