
Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM,wakati wa sherehe za utambulisho wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM.

Mwenyekiti wa CCM-Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya wa CCM,Juliana Shonza na Mtela Mwampamba,kushoto kwenye picha ni Makamu Mwenyekiti CCM-Bara ,Ndugu Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana.
![]() |
Mwenyekiti wa CCM-Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa Dodoma wakati wa sherehe za kuipongeza Kamati Kuu iliyochaguliwa jana mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment