Friday, February 8, 2013

Mafunzo afya ya uzazi Kisarawe yawezeshwa


003 c8b91
Meneja Biashara idara ya uhusiano wa Vodacom Tanzania, Lillian Kisamba(kushoto),akishirikikumkabidhimfanowahundiyenyethamaniyashilingimilioni 5 MkuuwawilayayaKisarawe Bi FatmaKimario (kulia). Fedhahizozimetolewana Vodacom Foundation wilayanihapojanakwaajiliyakuwezeshaufanikishajiwamafunzokwaWakungawaliopohospitaliyaKisarawemkoaniPwani.KatikatiniMkuuwakitengo cha Vodacom Foundation,YessayaMwakifulefule, nawenginewanaoshuhudianiwakunganamaofisauuguziwahospitali hiyo.



Dar es Salaam 8th February 2013....Fedhataslimushilingimilioni 5 zimekabidhiwakwalengo la kuwezeshaufanikishajiwamafunzokwaWakungawaliopohospitaliyaKisarawemkoaniPwaniyatakayojikitakatikakukabiliananavifovyaakinamamanawatotowakatiwakujifungua.
MafunzohayoyanatarajiwakuanzakutolewawakatiwowotekuanziasasachiniyauwezeshajiwaChama cha UzazinaMalezi Bora
nchini(umati)ambayoyatashirikishawakunganabaadhiyawauguzikutokandaniyahospitalihiyokwaawamuya kwanza yamajaribionabaadayekusambaamaeneomengineyamkoahuo
AkizungumzawakatiwahaflayamakabidhianoyahundihiyokwenyehospitaliyawilayayaKisarawemkoaniPwanijana, MkuuwaWilayahiyo, FatmaKimario, alisemamsaadahuoumekujawakatimuafakawakatiserikaliikokatikaharakatizautekelezajiwamikakatimbalimbaliyakuboreshaafyaya mama namtotosanjarinakuhakikishainapunguzavifovyawatotowachiniyaumriwamiakamitanokadiriinavyowezekana
"Tunawapongezasana Vodacom kwauwezeshajihuuunaoambatananakuungamkonoharakatizilizopozaserikalizakukabiliananachangamotozaafyaya mama namtoto, tunaombakwakushirikiananawadauwenginewamaendeleomtutazamepiakwenyemaeneomengineyakiwemoujenziwanyumbazawafanyakazinaupatikanajiwavifaatibanamaabarayakisasa," alisemaKimario NayeMgangaMkuuwa Hospital yaWilayahiyo, Dr, MsengiMwendoalisemamsaadahuounatarajiakuongezaufanisikimafunzosanjarinakuboreshahudumazaafyakwahospitalihiyoambayohutoahudumazakujifunguakwaakinamamawapataotakribani 350 kwamwezi.
"Tunaaminimsaadahuuutatusaidiakwakiasikikubwakatikaustawishajiwataalumakwawakungakatika Nyanja zakupeananakubadilishanaujuzinamaarifakwalengo la kupunguzanaikiwezekanakutokomezachangamotozinazoikabiliafyaya mama namtotohususanwakatiwakujifungua." alisemaMwendo Aliongezakuwakwasasabadohospitalihiyoinakabiliwanachangamotonyingizikiwemouhabawaofisinavifaatibajambolinalopelekeamadaktariwapatao 16 waliopohospitalinihapokuhudumiawagonjwawengihukuwakiwakwenyevibarazanakatikamazingiramagumunawakatimwinginekulazimikakuwahamishiahospitalinyingine
Aliongezakwakuwaomba Vodacom nawadauwenginekushirikiananaokatikauboreshajiwamiundombinuyahospitalihiyoiliyojengwatakribanimiaka 50 iliyopitakwanikwasasainahudumiawakazizaidiyalakimojakutokandaninanjeyaKisarawehukuikiwanaofisimojayadaktarinawodichachezisizotoshelezamahitajiyawagonjwa.
Kwaupande wake, MkuuwaKitengo cha HudumazaJamiiwa Vodacom, YessayaMwakifulefule,alisemawanatambuaumuhimunathamaniyaafyaya mama namtotondaniyajamiindiosababuwamesukumwakuchangia.
Alisemakwakutambuatatizohilo Vodacom wameamuakuunganana'Umati'kwakutoamsaadahuoilikukabiliananachangamotoiliyopo, kwakuzingatianafasinaumuhimuwamwanamkendaniyajamiinastahikizakeikiwemoupatikanajiwahuduma bora yaafyanahasaileinayotolewanawakunga.
Wakatimwinginehatuayaakinamamakujifungulianyumbanihaitokaninaimanipotofu au elimudunibalihutokananaumasikiniuliokithirinawakatimwingineumbalimrefukutokanyumbanihadikilipokituo cha afyasambambanausafiriusioaminika au ubovuwabarabara.
Mwakifulefulealisemapamojana mambo mengineazmayaonikuhakikishawanaifikiajamiikatikamaeneoyote, kuijali, kuisikilizanakusaidianakatikakutatuakeronachangamotozinazoizunguka.
Alisemachangamotoyavifovyaakinamamanawatotoniyajamiinzima, hivyomsaadauliotolewaanaaminikwakiasikikubwautasaidiakwamalengoyaliyokusudiwa,hukuakisisitizakuwakamamkungaakiwezeshwanidhahiriafyanauhaiwajamiinzimautakuwasalama.
"Kwakutambuaumuhimuwaafyaya mama namtotonachangamotozakukabiliananayotumeamuakukabidhikiasihikikwamajaribioyampangohuunabaadayemaeneomenginekwaKisaraweyote,tunaahidikuendeleakuwakaribukatikakukabiliananachangamotozinazoikabiliafyaya mama namtoto," alisemaMwakifulefule Mwisho.
004 ff0ee
AfisauuguziwahospitaliyawilayayaKisarawe, Bi AniciaAlute (kushoto),akiwaelezabaadhiyamaofisawaKampuniyaMawasilianoya Vodacom waliofikahospitalinihapochangamotombalimbalinamikakatiwaliyonayokatikakukabiliananavifovinavyohusishaafyaya mama namtoto, katikatukiohiloVodacom Foundation ilikabidhimfanowahundiyenyethamaniyashmilioni 5 ilikufanikishamafunzoyanayotarajiwakutolewakwawakungawahospitalihiyokwamalengoyakukabiliananachangamotozaafyanauzazi. KutokakulianiMkuuwaKitengo cha Vodacom Foundation, YessayaMwakifulefulenaMenejawaBiasharawaidarayauhusianowa Vodacom, Lillian Kisamba.
005 f512a
Mkuu waKitengo cha Vodacom Foundation YessayaMwakifulefule (kulia) akizungumzanamaafisawauguziwaandamizinawakungawahospitaliyawilayayaKisarawemudamfupikablayakukabidhimfanowahundiyenyethamaniyashilingimilioni 5kwaajiliyakuwezeshaufanikishajiwamafunzokwaWakungawaliopohospitaliyaKisarawemkoaniPwani, wapilikutokakulianiMenejawabiasharandaniyaidarayauhusianowaKampuniyaMawasilianoya Vodacom, Lillian Kisamba.

No comments: