Miss
Utalii Tanzania 2012/13 wiki ijayo wataanza ziara ndefu ya kutembelea
Hifadhi za Taifa na vivutio vya utalii katika mikoa ya Dar es
salaam,Morogoro,Mtwara,Lindi na Pwani. Vivutio hivyo ni pamoja na
Hifadhi za Taifa za Mikumi, Udizungwa, Saadani, Selous, pia maeneo ya
kihistoria ya Bagamoyo, Amboni, Kijiji cha makumbusho,Makumbusho ya
Taifa, Pugu sekondari,maeneo mengine ni ufukwe wa kigamboni, soko la
kimataifa la Magogoni, Uwanja wa Taifa, uwanja wa ndege wa J.K.Nyerere
Air Port, Soko la Kariakoo, Mashule ya sekondari na msingi, pia
watatembelea manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni ambapo watakutana na
viongozi wakuu wa wilaya, mikoa, na wabunge katika majimbo ya mikoa
hiyo.
Wakipozi kwa picha
No comments:
Post a Comment