Mkurugenzi
wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)Devota Mdachi kushoto na
maafisa wengine wakiwa katika maonyesho ya Utalii ya FITUR ambayo ni ya
tatu kwa Duniani yaliyofanyika kuanzia Januari 30 mpaka Februari 3 mwaka
huu nchini Madrid nchini Hispania na kushirkisha Bodi ya Utalii (TTB),
Mamlaka ya Hifadhi za Taifa ya Ngorongoro (NCAA) na makampuni zaidi ya
sita ya utalii kutoka nchini Tanzania katikati ni Esther Solomon
(Senior Tourist Information Officer,(TTB) , Israel Naman ({Principal
Conservation Officer, (NCAA) na Maria Kirombo (Park Warden, Arusha
National Park).
FOUR WAYS INTERNET & STATIONERY WANASHUGHULIKA NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA SHULE NA MAHITAJI MENGINE YA MAOFISINI IKIWA NI PAMOJA NA HUDUMA YA INTERNET MASAA 17 KWA SIKU INAFUNGULIWA SAA 7:00 HADI SAA 10:00 USIKU K A R I B U S A N A
Saturday, February 9, 2013
TANZANIA YASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII YA FITUR NCHINI HISPANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment