Bi. Ndesema akimnywesha mwanae maziwa kwa kutumia kibuyu.
Mama mmoja ambaye ni Mmasai aliyejitambulisha kwa jina moja la Ndesema, hivi karibuni alifanya kituko pale alipoamua kumnywesha mtoto wake maziwa yaliyokuwa ndani ya kibuyu wakati ibada ikiendelea ndani ya kanisa la RC, Parokia ya Sokoine iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani hapa
No comments:
Post a Comment