Wednesday, April 18, 2012

MAMA MZAZI WA SUMALEE AFALIKI DUNIA


Mshindi wa tuzo ya wimbo bora wa mwaka uitwao Hakunaga na tuzo ya wimbo bora wa Afro Pop Sumalee amefiwa na Mama yake Mzazi leo mchana jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa habari zilizofikia Kajunason Blog zimesema kuwa mama yake Sulamee alikuwa amemsindikiza mdogo wake kuja kupata matibabu jijini Dar es Salaam kutoka Tanga ila alipofika alidodoka ghafra na kufariki. Mungu Amlaze mahali pema peponi.

No comments: