Friday, April 20, 2012

NDANI YA MANISPAA YA ;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;

Kuna Anayeishi Humu


Tunapojenga maghorofa,kula na kusaza tukumbuke kuna wenzetu wanaishi maisha haya.nyumba hii inahitaji matengenezo makubwa lakini mwenye nyumba anaishi humo hivihivi.Hapa ni Kaole Bagamoyo(jana alasiri).Tutafakari  na pia unaweza toa mtazamo wako na ushauri juu ya nini kifanyike kuwanusru hawa wanaoishi katika nyumba kama hiiiiiiiiii ndani ya Tanzazni.
picha na Mjengwa

No comments: