Wednesday, April 11, 2012

Rais Dk Shein azindua Kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali
Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya
Rais ya Mfuko wa Uwezeshaji,baada ya kuizindua rasmi leo Ikulu Mjini
Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wajumbe wa kamati ya
Rais ya Mfuko wa Uwezeshaji,wakati wa uzinduzi Kamati hiyo katika
Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments: