Saturday, April 21, 2012

USEMI WA BABA WA TAIFA

 
Hivi hayati baba wa taifa leo ikitokea kama maandiko matakatifu yanavyosema kuwa siku ya mwisho baada ya kifo ni kufufuka anaweza kukuta  kuna mabadiliko gani?yaliyopo katika nchi aliyoitafutia uhuru miaka mingi iliyopita.Toa maoni yako na mtazamo wako kupitia kwenye sehemu ya maoni haopo chini.

Tutapata Tena Kiongozi Kama Huyu?

Kwa wenye kukumbuka ni wapi hapa?
Picha ya maktaba

No comments: