Kaimu katibu tawala wa mkoa wa Kagera Anyosisye akitoa hati za shukrani kwa wajumbe wa bodi ya parole iliyomaliza muda wake, kulia ni mkuu wa jeshi la magereza wa mkoa wa Kagera Yusuph Kimanji.
Wajumbe wa bodi mpya ya Parole ya mkoa wa Kagera.
Baadhi ya wajumbe wa bodi ya parole ya mkoa wa Kagera.
Baadhi ya wajumbe wengine wanaounda bodi ya parole ya mkoa wa Kagera.
Secteratarieti ya askari wa jeshi la magereza iliyokuwa ikiratibu kikao cha kutangaza bodi mpya ya Parole.
No comments:
Post a Comment