Mkuu wa mkoa Kagera jana aliamua kufanya kmsako wa uchafu na kuhakikisha mji wa bukoba unakuwa safi mda wote
Ilikuwa ni ziara ya kushutukiza kwani walio wengi hawakuwa na taarifa hizo,katika ziara hiyo wengi wametoa faini kuanzia 200000/= hadi 50000/=
![]() |
Kila Alhamisi ni siku maalumu ya usafi kwa wakazi wa Mji wa Bukoba.Hapa ni katika Kata ya Miembeni karibu na Kituo Kikuu cha Polisi mama huyu akiwajibika |
![]() |
Kijana akipewa kibano baada ya kukutwa katika eneo ambalo halijafanyiwa usafi |
No comments:
Post a Comment