
Waziri wa Fedha na Mipango Ofisi ya Rais Yusuf Omar Mzee (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana mjini Arusha juu ya umuhimu wa barabara mpya inayotarajiwa kujengwa kutoka ChakeChake hadi Wete kisiwani Pemba mara baada ya Tanzania na Benki ya Waarabu inayojishughulisha na Maendeleo ya Uchumi ya Afrika (BADEA) kusaini mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa mradi wa ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilometa 22.1. Kulia ni Waziri wa Miundombinu ,Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Zanzibar Hamad Masoud
No comments:
Post a Comment