Tuesday, May 1, 2012

JK AUNGANA NA WANATANGA KUAZIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI


"CUF Kumpokea JK" Tafsiri ya Mjumbe

Mwenyekiti hii ni tafsiri yangu mimi kama mtembeleaji wa blogu hii,nadhani ninayo haki.nanyi wasomaji hii siyo tafsiri ya mwenyekiti,ni mtazamo wangu.Kitendo cha CUF kumpokea mwenyekiti wa chama kingine kinaweza kuonekana ni ustaarabu kwa wasioweza kuchambua mambo.lakini kwangu mimi nimeona mambo mawili matatu.Mosi mpiga picha wa rais amefanya hivyo kimakosa akidhani ataonyesha rais anapendwa hadi kupokelewa na vyama pinzani,pili kama CCM kweli hawakuwepo basi picha hii inaonyesha kuwa chama hicho ni mfu Tanga,tatu binafi sijawahikuona hata Marekani rais wa republican akipokelewa vile na democrat in absence ya republican wenzake hivyo haiwezekani.hili linatwambia nini? waliompokea JK ni lazima wawe CCM,ila katika case hii ni CCM B.au hamkusikia kuwa mwenyekiti wao kapigiwa simu ili apewe uwaziri,na au hamumwonagi kwenye matukio ya ikulu anavyotabasamu? kwenye picha hizi hakuna wapinzani bali ni CCM B
Masala Kulangwa

No comments: