Baada ya washiriki kutoka Tanzania kutia fora baada ya kutimuliwa mapema,na baadaye mshiriki DKB kutolewa baada ya kumdunda mshiriki mwenzie makofi akimaindi kuchunguliwa bafuni,sasa imekuwa zamu ya msanii nguli wa kenya, CMB PREZZO!
Prezzo ameamua kujitoa kwenye jumba hilo baada ya sheria ya Mitungi kutoruhusiwa kwenye jumba na amesema yeye sio mfungwa hivyo ana uhuru wa kutoka muda wowote anaotaka!
Msanii prezzo ambaye anapewa nafasi kubwa kuondoka na kitita cha dola 300,000 mwaka huu amemshangaza kila mtu pale alipomwambia mshiriki mwenzake Keitta kwamba ni heri afunguliwe mlango aondoke zake kwenda home kuliko kukaa kwenye Mjumba usio na Pombe kama Mfungwa.
No comments:
Post a Comment