Tuesday, September 11, 2012

AJALI MBAYA YA KUTISHA YASABABISHA UMAUTI WA KIJANA

Kijana mmoja anayesadikia kuwa na umri wa miaka kati ya 20-30 jana mishale ya mchana amepata ajari ambayo imesababisha kufikia umauti kijana huyo ambaye alikuwa ni fundi(mpaka rangi katika jengo la masister  Bukoba amepata ajari hiyo mara baada ya kudondoka kutoka juu ya mnala wa jengo hilo na kudondoka chini.
Chanzo chetu cha habari kinalipoti kuwa kipindi kijana huyo anapaka rangi maeneo ya juu ya jengo la kanisa hilo brash ilidondoka kwa bahati mbaya.
Tukio hilo limetokea katika hatua za kuweza kunusuru burasha kabla haijafika chini na kusaahu kama alikuwa kwa juu.
Alipoteza maisha mara baada ya kufikishwa katika hospital kuu ya mkoa wa kagera.
Kazi ya mungu haina makosa hacha tu mipango yake itimie kwani yeye ndo mtohaji.
FOUR WAYS BUKOBA TUNAUNGANA NA WANAFAMILIA WA KIJANA HUYO KATIKA KIPINDI HIKI CHA MAJONZI KWAO.
0768078360
Eliud

No comments: