Monday, September 17, 2012

TANZANIA IMEJARIWA ARDHI KUBWA SANA.

Ni maeneo ya mkoa mpya wa Geita hii inaonesha kuwa mpaka sasa Tanzania kuna kila sababu ya kujivunia kuwa tuna maeneo ya kutosha kwa ajiri ya shughuli za kimaendeleo.
Ni zaidi ya kilometa 70 ambapo sikupata kubahatika kukutana na shamba kubwa wala nyumba haina maana kuwa hamna watu ila kuna eneo kubwa kuzidi idadi ya watu.

0768 078360
Eliud

No comments: