Sunday, June 24, 2012

hatimaye kile kitimutimu kilichokuwa kumesubiliwa kwa kipitindi kirefu kutimia jana jioni ndani ya LINUS` NIGHT CLUB BUKOBA

MISS INTER -COLLEGE 2012 APATIKANA NI JOSEPHIN WINFRED-MJINI CHUO KIKUU YA KHADJA KOPA YAWATEKA MASHABIKI WA MWAMBAO MJINI HAPA

Mshindi wa Miss Lake Zone Inter-College 2012  Josephin Winfred katikati,na mshindi wa pili  kushoto na mshindi wa  tatu Enfilda Clemence kulia.
Top 5 katika picha ya pamoja mara tu baada ya Josephin kutangazwa mshindi.
 Wadau pichani ni Bi Noela na Bi Enjoy wakifuatilia mchuano huu.
Picha na BUKOBA WADAU


No comments: