Friday, June 29, 2012

MAKIDARI WAKIENDELEA NA MGOMO LEO RAIS KIKWETE AFUNGUA KIWANDA KIPYA CHA KUFYATUA WASOMI WENGINE KWA KUWAFUNGULIA HOSTEL BAGAMOYO LEO


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita wa Marian Girls Secondary school kwenye kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindua leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wenyeji wake kwenye b kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindua leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kama Mgeni Rasmi  kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani
 Baadhi ya wageni wakifuatilia tukio hilo.

No comments: