Maunda akitoa burudani.
Maunda akitoa burudani.
Usiku wa kuamkia leo kulifanyika onyesho la muziki wa kizazi kipya ndani ya ukumbi wa Mpo Africa Night Club uliopo Devis Corner Tandika.
Katika onyesho hilo wanamuziki Maunda Zoro na Mr Nice waliwapagawisha mashabiki kwa shoo mzuri.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)
No comments:
Post a Comment