

Mwili wa marehemu Willy Edward Ogunde aliyekuwa mhariri mkuu wa Gazeti la Jambo leo ukiwasili katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana.

Mjane wa Marehemu Willy Edward Bi Rehema akifarijiwa na ndugu huku akilia kwa uchungu kwa kumpoteza mume wake mpendwa marehemu Willy Edward.

Mwenyekiti wa IPP Reginald Abraham Mengi, Akimfariji Athumani Hamisi katika msiba huo

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Reginald Abraham Mengi, Akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward wanaofuatia nyuma yake ni Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye

Baadhi ya waombolezaji walioudhuri katika kuuaga mwiliwa marehemu Willy Edward wakiwa katika mstari tayari kwa kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu.
No comments:
Post a Comment