Wednesday, July 18, 2012

FULL MACHOPOCHOPO

Maisha ya Mtanznia ni kujituma tu ili kuweza kupata kila unachokiitaji.
Ubunifu ni mtaji wa kuweza kukufikisha katika malengo yako.
Mipango na Malengo ni nguzo za utafutaji.
Kujiamini na kusimamia kazi zako ni nguzo ya mafanikio
Nawahasa vija kufanya kazi kuliko kuamukia katika vijiwe  kwa masilai ya umbea.
Hakuna kinachoshindikana hata kama ni kwa mda mrefu tufanye kazi kwa malengo na kuwa  na matumzi mazuri ya faida tunayoipata katika kazi zetu.
Ajira kwa vijana inawezekana kama vijana wenyewe watweza kufanya kazi kwa umoja na kujituma ili kufikia malengo yao.
 HAPA KAZI TU SITAKI MANENO

No comments: