Tuesday, July 17, 2012

HABARI YA HIVI PUNDE: Hostel Moro Sec zawaka Moto

[4.JPG]

Habari za hivi punde kutoka Mjini Morogoro zinapasha kuwa Hostel za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Morogoro zinawaka moto. 

Blogu hii kama kawaida yake itakupasha zaidi juu ya tukio hilo baada ya kupata taarifa kamili.

No comments: