Friday, June 29, 2012

Wema Sepetu Aagana Na Omotola Jalade

Omotola akijaribu bangili za kimasai alizopewa kama zawadi.

Omotola Jalade wa pili kushoto akikabidhiwa zawadi za khanga, shanga na viatu kutoka kwa mwenyeji wake Wema Sepetu wakati akiondoka kuelekea Nigeria jana usiku.

Mwigizaji Wema Sepetu akimvalisha Khanga Omotola Jalade muda mfupi kabla ya kuondoka nchini kuelekea Nigeria.

No comments: