Saturday, July 14, 2012

MAN UNITED BINGWA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA


TIMU ya mashabiki wa Manchester United imeibuka bingwa wa tamasha la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza baada ya kuwafunga Barcelona kwa penalti 5-4, kufuatia sare ya bila kufungana, kwenye TCC, Chang’ombe, Dar es Salaam. Tazama picha za mechi hiyo na shamrashamra za ubingwa wao. Barcelona walipewa Kombe pia la mshindi wa pili na bia zaa kumwaga za Serengreti.

No comments: