Aden Rage Mwenyekiti wa Simba akipokea hundi ya Simba SC kutoka kwa mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu Fredirick Sumaye katika hafla ya kukabidhi zawadi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree jijini Dar es salaam, katikati ni mkuu wa masoko wa kampuni ya Vodacom Kevin Twisa. Picha Kwa hisani ya Bongostazblog

Mwesigwa katibu Mkuu wa Yanga akipokea hundi ya Yanga
kutoka kwa mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu Fredirick Sumaye katika hafla ya kukabidhi zawadi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree jijini Dar es salaam, katikati ni mkuu wa masoko wa kampuni ya Vodacom Kevin Twisa

Mzee Said wa Azam FC akipokea hundi ya Azam FC kutoka kwa mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu Fredirick Sumaye katika hafla ya kukabidhi zawadi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree jijini Dar es salaam, katikati ni mkuu wa masoko wa kampuni ya Vodacom Kevin Twisa

Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah kulia, katikati Mkuu wa Masoko Vodacom Tanzania Kevin Twisa wakiwa na Waziri Mkuu mstaafu Fredirick Sumaye

Wadau wa Yanga, katika picha ya pamoja na Mh Sumaye

Wadau wa Simba SC katika picha ya pamoja na Mh Sumaye
No comments:
Post a Comment